• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Uhasibu
      • Miundo Mbinu
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Kitengo cha Ukaguzi wa ndani

 MAJUKUMU YA KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI 

  • Kuhakikisha kuwa sera za matumizi ya fedha za serikali zinafuatwa kikamilifu kama zilivyo hainishwa kwenye mamlaka za serikali za mitaa na sera nyinginezo za matumizi ya fedha.

  • Kufanya ukaguzi wa matumizi ya ankra zote za halmashauri kila robo mwaka na kuandaa ripoti kwa afisa masuuli kabla ya tarehe 15 ya mwezi unaofuata robo husika.

  • Kufanya ukaguzi wa miradi na mali zote za halmashauri na kuhakiki uwepo wake kulingana na vitabu vinavyoonyesha (register) na kuandika taarifa na kuiwasilisha kwa afisa masuuli.

  • Kupitia na kuangalia utendaji na mfumo wa kila siku wa halmashauri na kuangalia kama utekelezaji.

  • Kupitia majibu ya hoja za ukaguzi zinazojibiwa na wakuu wa idara na kushauri njia sahihi ya kutatua kurekebisha changamoto zinazojitokeza.

  • Kuangalia na kukagua mifumo ya computer inayotumiwa na halmashauri na Kutoa ushauri kwa afisa masuuli juu ya ya ufanisi wake au matatizo yanayoikabali mifumo hiyo na namna ya kukabiliana na changamoto zake.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI IDARA YA AFYA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE March 06, 2023
  • TANGAZO LA KUANZA KWA MFUMO MPYA WA TAUSI KWA AJILI YA UTOAJI HUDUMA YA MALIPO MBALIMBALI YA SERIKALI KWA NJIA YA MTANDAO February 20, 2023
  • TANGAZO LA CHANJO YA KICHAA CHA MBWA October 23, 2022
  • MASHINDANO YA KOMBE LA SENSA 2022 June 08, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Mheshimiwa Mlinga ataka usafi kufanywa kila jumamosi

    September 16, 2023
  • Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Mlinga Awapa Nasaha Wahitimu Darasa la Saba

    September 12, 2023
  • Katibu Tawala Bi Bohari azindua Zahanati Turuki

    September 06, 2023
  • Mkuu wa Wilaya Mh. Mlinga Afungua Mafunzo ya Jeshi la Akiba

    August 22, 2023
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • www.tamisemi.go.tz
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Bodi ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Linndi RS
  • Ruangwa
  • Nachingwea
  • Lindi Manispaa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.