MAJUKUMU YA KITENGO CHA TEKNOLOJIA YA HABARI NA MAWASILIANO (TEHAMA)
Kitengo cha Teknolojia ya Habari na Mawasiliano kinaandaa, kutekeleza na kutoa msaada kwa watumiaji wa mifumo ya mawasiiano inayosaidia kuendesha shughuli za kila siku za Halmashauri. Lengo kuu kuhakikisha mifumo na vifaa vinavyohusika vinatoa huduma ya uhakika ambayo pia inahakikisha kufikiwa kwa malengo ya Halmashauri.
Kusimamia shughuli za mawasiliano ya ndani na nje ya halmashauri.
Kusimamia ubora wa vifaa vya TEHAMA na matumizi salama ya vifaa vya TEHMA.
Kusimamia mifumo ya TEHAMA na mifumo ya mawasiliano, matengenezo na utumiaji kwa kushirikiana na mtaalam wa mifuko ngazi ya mkoa.
Kutoa taarifa za ukaguzi wa vifaa vya TEHAMA na kushauri kufanyika kwa matengenezo.
Kusimamia tovuti ya halmashauri kwa kuhuhisha taarifa mpya mara kwa mara na kuondoa taarifa za zamani kwenye tovuti.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2018 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.