• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Taarifa Mbali Mbali za Ujenzi Kwa njia ya Picha

  • Shule ya Msingi Nicodemus Banduka wakiendelea na zoezi la kujaza kifusi

    Mafundi wakiendelea na ujenzi wa maru maru shule ya Msingi Mbonde-Kambarage hadi kufikia tarehe 18.11.2021

    kazi ya kumwaga zege Shule shikizi Ngangila imeanza leo tarehe 18.11.2021

    Shule ya msingi Kimbemba Kata ya Mangirikiti wamalizia kazi ya uchimbaji msingi leo tarehe 18.11.2021

    Ujenzi wa msingi ukiendelea katika shule ya msingi Kiangara hadi kufikia tarehe 18.11.2021

    kazi ya ujazaji na kumwagilia maji kifusi likiendelea katika Shule ya Sekondari Nicodemus. Banduka hadi kufikia tarehe 18.11.2021

    Boza la maji lenye Lita 18,000 likimwagilia maji kwenye msingi unao endelea kujengwa kwenye Shule shikizi Kimbemba kata ya Mangirikiti tarehe 19.11.2021

    Kazi ya kufyatua tofali ikiendelea katika shule shikizi ya Lubaba hadi kufikia 20.11.2021

    Upangaji mawe kwenye msingi katika Shule shikizi ya Nyela ukiendelea hadi kufikia tarehe 20.11.2021

    Ujenzi wa msingi katika Shule shikizi Ngangila ukiendelea hadi kufikia tarehe 20.11.2021

    Kazi ya ufyatuaji tofali ikiendelea katika kituo shikizi mitawa hadi kufikia tarehe 21.11.2021

    Kazi ya kumwaga zege kwenye msingi ikiendelea katika kituo shikizi mitawa hadi kufikia tarehe 21.11.2021

    Mbao kwa ajili ya maandalizi ya kupaua madarasa matatu (3) katika Shule ya Sekondari Kibutuka zikiteremshwa kwenye lori siku ya tarehe 20.11.2021

    Mlembwe Sekondari Wakiendelea na ujenzi wa msingi na kuanza kupanga mawe mpaka kufikia tarehe 20.11.2021

    Kazi zinazoendelea katika shule shikizi ya Lubaba-Mpengere wakijenga shimo la kuhifadhi maji kwa ajili ya ujenzi

    Mafundi wakiwa katika harakati za kupandisha mbao juu kwa ajili ya kuanza kupaua shule ya Sekondari Likongowele leo tarehe 05/12/2021

    Mafundi wakiwa wamemaliza kazi ya kupaua na leo tarehe 11.12.2021 wanaendelea na upigaji wa plasta Shule ya Sekondari Likongowele

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI IDARA YA AFYA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE March 06, 2023
  • TANGAZO LA KUANZA KWA MFUMO MPYA WA TAUSI KWA AJILI YA UTOAJI HUDUMA YA MALIPO MBALIMBALI YA SERIKALI KWA NJIA YA MTANDAO February 20, 2023
  • TANGAZO LA CHANJO YA KICHAA CHA MBWA October 23, 2022
  • MASHINDANO YA KOMBE LA SENSA 2022 June 08, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • TANGAZO LA MAOMBI YA VIBANDA 34 KATIKA ENEO LA STENDI

    March 16, 2023
  • MAPOKEZI PIKIPIKI SITA KWA AJILI YA WATENDAJI KATA KUTOKA KWA MH. RAIS DKT SAMIA SULUH HASSAN

    February 26, 2023
  • UTOAJI WA TUZO KWA WALIMU NA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI WA MSINGI NA SEKONDARI KWA MWAKA 2022

    February 25, 2023
  • MAFUNZO YA STADI ZA MSINGI ZA SHUGHULI ZA KIUCHUMI KWA WALENGWA WA TASAF

    February 22, 2023
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • www.tamisemi.go.tz
  • Kupata maelezo ya kujiunga (joining instructions) kidato cha tano 2021 Tanzania Bara
  • Kupata maelezo ya kujiunga (joining instructions) za Vyuo vya Elimu 2021
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Bodi ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya maji
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Linndi RS
  • Ruangwa
  • Nachingwea
  • Lindi Manispaa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2018 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.