Imewekwa:: February 1st, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga ameshiriki katika kilele cha siku ya Sheria nchini (Law Day) sherehe hizo hufanyika 01 ya mwezi Februari kila mwaka.
Maadhimisho hayo yamefanyika...
Imewekwa:: January 31st, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mheshimiwa Zainab Telack amefanya kikao na wafugaji wa Wilaya ya Liwale akiwaeleza lengo la Serikali lakuwagawia maeneo ya kuchungia ili kuondoa na kudhibiti mifugo inayodhurula ...
Imewekwa:: January 29th, 2024
Baraza la Madiwani limepitisha bajeti ya Halmashauri ya Wilaya ya Liwale jumla ya shilingili bilioni 26,779,558,036.00 kwa mwaka wa fedha 2024/ 2025 ikiwa ni ruzuku kutoka Serikali Kuu, mapato ya ndan...