Imewekwa:: November 24th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Gooduck Mlinga amekutana na wafanyabiashra na wadau mbalimbali katika kujadili fursa za uwekezaji na changamoto zake katika Baraza la Biashara Wilaya ya Liwale.
...
Imewekwa:: November 23rd, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga leo amefunga rasmi mafunzo ya Jeshi la Akiba ambayao yalinza 14 july 2023 yakiwa na wanafunzi 132 ambapo wanawake 33 na wanaume 99 na kumalizika 22 ...
Imewekwa:: November 23rd, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga amepokea msaada wa mashuka 114 kutoka Mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya NHIF ikiwa ni kuboresha huduma za kimatibabu ambazo zinatolewea katika hospital...