Imewekwa:: December 4th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Liwale, Mheshimiwa Goodluck Mlinga, amewataka madiwani wa halmashauri ya wilaya hiyo kutanguliza masilahi ya wananchi katika utekelezaji wa majukumu yao. Ametoa kauli hiyo Disemba 4,...
Imewekwa:: December 4th, 2025
Diwani wa Kata ya Nangando, Mheshimiwa Abdallah Chande amechaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Uchaguzi huo umefanyika leo, Alhamisi, Disemba 4, 2025, katika mkutano wa...
Imewekwa:: December 4th, 2025
Diwani wa Kata ya Liwale B, Mheshimiwa Mohamed Mtesa amechaguliwa tena kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Uchaguzi huo umefanyika leo, Alhamisi, Disemba 4, 2025, katika mkutano wa kwa...