• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

ZIARA YA WAHESHIMIWA MAWAZIRI,MH.MASHIMBA NDAKI WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI NA MH.MHANDISI HAMADI MASAUNI WAZIRI WA MAMBO YA NDANI KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE

Imewekwa:: November 1st, 2022

ZIARA YA WAHESHIMIWA MAWAZIRI, MH. MASHIMBA NDAKI WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI NA MH. HAMADI MASAUNI  WAZIRI WA MAMBO YA NDANI, KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA LIWALE.

Ziara hiyo ni agizo la Mh. Raisi Mama Samia Suluh Hassan kutembelea maeneo yenye changamoto za wafugaji na wakulima na changamoto za wanyama pori. Waheshimiwa mawaziri wamefanya ziara hiyo  katika kijiji cha Lineng'ene kata ya Mirui na kijiji cha Kibutuka kata Kibutuka. Maeneo hayo yote yanakabiliwa na changamoto za wafugaji na wanyama pori, wananchi wameeleza namna wafugaji wanavyo wasumbua, wafugaji wanaharibu mazao ya wakulima na kuwajeruhi, wamekua tishio kwao kiasi cha kuathiri hali kiuchumi kwenye vijiji hivyo, changamoto ya  kupata mazao kidogo kwasababu ng'ombe wanaingia kwenye mashamba ya wakulima.  Pia Wananchi wamelalamikia changamoto ya wanyama pori hususani Tembo. Wanyama hawa wanaingia mpaka kwenye makazi ya wananchi, tembo wanafanya uharibifu wa mazao na inasabisha kupata hasara ya mazao na kupata chakula kidogo au kukosa kabisa. Tembo wanahatariaha maisha ya wananchi na baadhi ya wananchi wamepoteza maisha kwa kujeruhiwa na tembo.

Waheshimiwa mawaziri wametoa utatuzi wa changamoto hizi kwa kutoa maelekezo kuhakikisha hawa wafugaji wote wamehamishwa kutoka maeneo yote yasiyo rasmi na kupelekwa maeneo rasmi kwaajili ya wafugaji. Wananchi wameombwa kutoa ushirikiano wa kutosha kwenye operesheni hii rasmi ili kukomesha changamoto hii.  Viongozi wa vijiji kufanya wajibu wao na kuhakikisha wananchi wanapata haki zao. Waheshimiwa mawaziri wameomba kila mtu afanye wajibu wake kwanzia mwananchi, uongozi wa kijiji mpaka ngaz ya wilaya. Kwa sasa maaskari wa kata wamewekwa kila kata kusimamia ulinzi na usalama wa wananchi hivyo tuwatumie askari hawa pindi changamoto itakapotokea, mawasiliano ya askari  kata zimetolewa kwa wananchi kurahisisha mawasiliano ili kuimarisha usalama. Sambamba na hili ng'ombe wakirudi kwenye maeneo rasmi changamoto ya tembo itapungua,  Waheshimiwa mawaziri wamesema changamoto zingine zitaendelea kupewa utatuzi na wataendelea kutoa maelekezo ili kumaliza changamoto hizi.




Matangazo

  • WALIOCHAGULIWA KIDATO CHA KWANZA 2023 HALMASHAURI YA WILAY YA LIWALE December 14, 2022
  • TANGAZO LA CHANJO YA KICHAA CHA MBWA October 23, 2022
  • MASHINDANO YA KOMBE LA SENSA 2022 June 08, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KADA MBALIMBALI ZA AFYA October 28, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MÉDECINS SANS FRONTIÈRES - DOCTORS WITHOUT BORDERS (MSF) WAZINDUA MRADI WA MIAKA MITATU LIWALE

    December 12, 2022
  • KONGAMANO LA MIAKA 61 YA UHURU WILAYA YA LIWALE

    December 09, 2022
  • ZOEZI LA USAFI HOSPITALI MPYA YA WILAYA YA LIWALE KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 61 YA UHURU 2022

    December 06, 2022
  • UTOAJI WA BIMA ZA AFYA(ICHF) ILIOBORESHWA KWA WANAFUNZI WANAOISHI KWENYE MAZINGIRA MAGUMU WILAYA YA LIWALE

    November 11, 2022
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • www.tamisemi.go.tz
  • Kupata maelezo ya kujiunga (joining instructions) kidato cha tano 2021 Tanzania Bara
  • Kupata maelezo ya kujiunga (joining instructions) za Vyuo vya Elimu 2021
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Bodi ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya maji
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Linndi RS
  • Ruangwa
  • Nachingwea
  • Lindi Manispaa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2018 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.