• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Uhasibu
      • Miundo Mbinu
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

ZAIDI YA WAGONJWA 360 WAPATIWA HUDUMA ZA KIBINGWA HOSPITALI YA WILAYA YA LIWALE

Imewekwa:: September 20th, 2025

Zaidi ya wagonjwa 360 wamejitokeza na kupata huduma za kibingwa katika Hospitali ya Wilaya ya Liwale, kufuatia ujio wa jopo la madaktari bingwa waliotoa huduma mbalimbali kuanzia tarehe 15 hadi 19 Septemba 2025.

Kwa mujibu wa taarifa ya hospitali hiyo, wagonjwa 158 walihudumiwa na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Ndani, 39 na Daktari Bingwa wa Watoto, 41 na Daktari Bingwa wa Upasuaji, 88 na Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Akina Mama, na 37 na Daktari Bingwa wa Kinywa na Meno.

Aidha, jumla ya upasuaji mdogo 5 na mkubwa 5 ulifanyika kwa ushirikiano wa Daktari Bingwa wa Usingizi na Ganzi na madaktari wa upasuaji.

Huduma hizo ni sehemu ya jitihada za Serikali kusogeza matibabu maalum karibu na wananchi, kwa lengo la kupunguza changamoto za upatikanaji wa huduma za afya na kuhakikisha kila mwananchi anapata huduma bora kwa gharama nafuu karibu na makazi yake.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA WASIMAMIZI NA MAKARANI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 JIMBO LA LIWALE October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WASIMAMIZI NA MAKARANI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 JIMBO LA LIWALE October 15, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 12, 2025
  • MAKALA YA MAFANIKIO YA HUDUMA ZA JAMII NA MIUNDOMBINU NDANI YA MIAKA 61 YA UHURU WILAYA YA LIWALE. December 07, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RUNALI YAENDESHA MNADA WA KWANZA WA KOROSHO KWA MAFANIKIO

    November 10, 2025
  • DC MLINGA AWAPONGZA MADEREVA BODABODA KWA KUDUMISHA AMANI

    November 10, 2025
  • SERIKALI YATOA MIKOPO YA SHILINGI MILIONI 308.5 KWA VIKUNDI MAALUMU 57 LIWALE

    November 10, 2025
  • DC MLINGA AAGIZA MAGHALA KUFANYA KAZI SAA 24 KURAHISISHA UPOKEAJI WA KOROSHO

    November 10, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • OR - Tamisemi
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Lindi RS
  • Lindi Manispaa
  • Nachingwea
  • Ruangwa
  • Mtama
  • Kilwa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.