• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Uhasibu
      • Miundo Mbinu
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

SERIKALI YATOA MIKOPO YA SHILINGI MILIONI 308.5 KWA VIKUNDI MAALUMU 57 LIWALE

Imewekwa:: November 10th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Liwale, Mheshimiwa Goodluck Mlinga, amefungua rasmi semina kwa vikundi maalumu vinavyotarajia kunufaika na mikopo ya asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Liwale inayotolewa kwa wanawake, vijana na watu wenye ulemavu. Semina hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Tengeneza, ikiwa na lengo la kuwajengea uwezo wanavikundi kuhusu taratibu, matumizi na marejesho ya mikopo hiyo.

Akizungumza wakati wa ufunguzi, Mheshimiwa Mlinga amewapongeza wananchi wa Liwale kwa kudumisha amani na utulivu wakati wa uchaguzi uliopita na kuwataka kutumia fursa zilizopo kujiletea maendeleo. Amesisitiza umuhimu wa kutumia mikopo hiyo kwa uadilifu, kuhakikisha inarejeshwa kwa wakati ili vikundi vingine navyo viweze kunufaika. Aidha, ameziagiza kamati za kata kuhakikisha mikopo inatolewa kwa walengwa halali, miradi inaendeshwa kwa tija, na marejesho yanafanyika kwa muda uliopangwa.

Kwa upande wake, Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Halmashauri ya Wilaya ya Liwale, Bw. Hamis Namaleche, ameeleza kuwa kwa mwaka wa fedha 2024/2025 jumla ya Shilingi 773,523,370 zilitolewa kwa vikundi 201, huku Shilingi 238,700,954 zikiwa zimekusanywa kama marejesho. Amesema kwa robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2025/2026, jumla ya vikundi 57 kati ya 324 vilivyowasilisha maombi vimepitishwa, vikiwemo vikundi 32 vya wanawake, 21 vya vijana na 4 vya watu wenye ulemavu, ambavyo vitapata mikopo yenye thamani ya Shilingi 308,581,300.

Bw. Namaleche ameongeza kuwa shughuli kuu zinazotekelezwa na wanufaika ni usafiri na usafirishaji, mama lishe, ushonaji na biashara mchanganyiko. Hata hivyo, amebainisha kuwa baadhi ya vikundi havikupata mikopo kutokana na kukosa sifa, ikiwemo kuwa na wanachama waliostaafu, kutokuwa na leseni za udereva kwa vikundi vya usafirishaji, au kuwa na wanachama wanaotoka nje ya kata husika. Aidha, alikumbusha kuwa kikundi kinatakiwa kuwa na angalau wanachama watano wanaokamilisha masharti yote kabla ya kuidhinishwa kupata mkopo.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA WASIMAMIZI NA MAKARANI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 JIMBO LA LIWALE October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WASIMAMIZI NA MAKARANI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 JIMBO LA LIWALE October 15, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 12, 2025
  • MAKALA YA MAFANIKIO YA HUDUMA ZA JAMII NA MIUNDOMBINU NDANI YA MIAKA 61 YA UHURU WILAYA YA LIWALE. December 07, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • DC MLINGA AWATAKA MADIWANI KUTANGULIZA MASILAHI YA WANANCHI

    December 04, 2025
  • ABDALLAH CHANDE ACHAGULIWA KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE

    December 04, 2025
  • MOHAMED MTESA ACHAGULIWA TENA KUWA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE

    December 04, 2025
  • DC MLINGA AKAGUA VITALU VYA UCHENJUAJI WA MADINI YA DHAHABU LILOMBE

    December 02, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • OR - Tamisemi
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Lindi RS
  • Lindi Manispaa
  • Nachingwea
  • Ruangwa
  • Mtama
  • Kilwa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • DORA77
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • KOI200
  • YAMITOTO
  • YAMITOTO
  • NABITOTO
  • Toto Slot Gacor
  • NABITOTO
  • AERO88 Slot Gacor