• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Uhasibu
      • Miundo Mbinu
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

NHIF ya Toa Msaada wa Mashuka Hospitali ya Liwale

Imewekwa:: November 23rd, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga amepokea msaada wa mashuka 114 kutoka Mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya NHIF ikiwa ni kuboresha huduma za kimatibabu ambazo zinatolewea katika hospitali ya Wilaya ya Liwale na vituo vya Afya.

Mheshimiwa Mlinga amewapongeza na kuwashukuru mfuko wa bima ya taifa ya afya kwa kuendelea kutoa msaada wa vifaa tiba katika hospitali ya Wilaya kwani imeongeza hari kwa wafanyakazi kuendelea kufanya kazi kwa bidii na pia kupunguza uhaba wa vifaa ikiwemo mashuka hata hivyo haya mashuka pia yaenda kusaidia vituo vyetu vya afya.

Aidha Mheshimiwa Mlinga   amesema kuwa   changamoto ni kubwa kutukona wagonjwa kuwa wengi na pia vituo vya afya ni vingi ndani ya Wilaya ya Liwale hivyo vifaa tiba pamoja na mashuka yamekuwa hayatoshelezi hivyo natoa wito kwa wadau wengine pia waje watusaidie ili tuweze kutoa huduma bora kwa wananchi wetu wa Liwale na pia ameutaka mfuko wa bima ya afya kuendelea kutoa misaada bila kuchoka.

Hata hivyo Kaimu Mganga Mkuu wa hospitali ya Wilaya ya Liwale Dactari Benedict John Itu ameshukuru Mkuu wa Wilaya na kwa jitihada zake ambazo anazifanya ili kuhakikisha hospitali ya Liwale inapata vifaa tiba na pia kutafuta wadau muhimu kama hawa ambao wametupa msaada wa mashuka haya ambayo yataenda kupunguza changamoto katika hospitali yetu pamoja na vituo vya afya   ikiwemo kwenye wodi za wazazi na watoto pamoja na mama wajawazito.

Hata hivyo “napenda kuwapongeza na kuwashukuru mfuko wa bima ya taifa ya afya NHIF kwa kutukumbuka Liwale na kutuletea mashuka haya yatatusaidia kupunguza changamoto tulizo nazo katika hospitali zetu na vituo vya afaya hivyo hata wagonjwa wakija tutwahudumia vizuri zaidi sababu vitendea kazi vipo”.

Kwa upande mwingine Meneja wa Mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya NHIF amesama kuwa katika kuunga mkono jitahada za maendeleo za Wilaya ya Liwale ni jukumu la mfuko huo kusaidia jamii kama vile kutoa vifaa tiba pia mfuko wa wa bima ya afya unahudumia watanzania ambao ni wanachama ambao wapo kwenye secta rasmi na mbazo sio rasmi hivyo ametoa wito kuhakikisha watanzia wanajiunga na mfuko huo ili kuhakikisha wanapata matibabu kwa urahisi na kwa gharama nafuu na pia amepongeza jitihada za Mkuu wa Wilaya kwakuhakikisha mashuka haya yanapatikana kwaa jili ya hospitali ya Wilaya na vituo vya afya.



Picha mbalimbali katika zoezi la Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga akipokea Msaada wa mashuka toka Mfuko wa Bima ya Taifa ya Afya  NHIF 

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA WASIMAMIZI NA MAKARANI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 JIMBO LA LIWALE October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WASIMAMIZI NA MAKARANI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 JIMBO LA LIWALE October 15, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE January 03, 2026
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 12, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • DC MLINGA AWATAKA MADIWANI KUTANGULIZA MASILAHI YA WANANCHI

    December 04, 2025
  • ABDALLAH CHANDE ACHAGULIWA KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE

    December 04, 2025
  • MOHAMED MTESA ACHAGULIWA TENA KUWA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE

    December 04, 2025
  • DC MLINGA AKAGUA VITALU VYA UCHENJUAJI WA MADINI YA DHAHABU LILOMBE

    December 02, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • OR - Tamisemi
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Lindi RS
  • Lindi Manispaa
  • Nachingwea
  • Ruangwa
  • Mtama
  • Kilwa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • axl777
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AXL777
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • slot gacor
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • koi200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77