Mkuu wa Wilaya ya Liwale, Mheshimiwa Goodluck Mlinga, amefungua kikao cha Baraza la Biashara la Wilaya kilichofanyika tarehe 25 Novemba 2025, ambacho kilijadili ajenda mbalimbali ikiwemo elimu ya ulipaji kodi, mapendekezo ya kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji, pamoja na taarifa za maeneo mapya yaliyopendekezwa kwa ajili ya wajasiriamali.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.