• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Uhasibu
      • Miundo Mbinu
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

DC Mlinga Wafugaji Tumieni Maeneo Yenu Kwa Ufugaji

Imewekwa:: October 18th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga amewewataka wafugaji wote wa Kata ya Kimambi kuhakikisha wanatumia maeneo waliyopewa kwa ajili ya ufugaji na sio kwa ajili ya shughuli za kilimo kwani kutumia maeneo ya ufugaji kwa ajili ya kilimo ndio chanzo cha migogoro kati ya wakulima na wafugaji na Mheshimiwa Mlinga   amayasema hayo katika ziara yake katika Kata ya Kimambi.

Katika ziara hiyo Mheshimiwa Mlinga alianza kuongea na wazee wa Kijiji cha Kimambi na kuwasikiliza kero zao  na pia katika mkutano wa hadhara wa wananchi wa Kijiji cha Kimambi  Mheshimiwa Mlinga amewataka wafugaji kuafuta sheria  na makubaliano  ambayo wamekubalina  kwani wafugaji ndio wamekuwa wavunjifu  wakubwa wa sheria  hivyo nilazima   tufuate taratibu kwani nyie ndio mnao lalamikiwa sana kwa matendo yenu ikiwemo kulisha mifugo yenu kwenye mashamba ya watu, kuharibu vyanzo vya maji, kuharibu mindombinu.

 Katika utambuzi na umiliki wa mashamba katika kijiji cha Kimambi Mheshimiwa Mlinga ameiyagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa Takukuru kufanya uchunguzi na kujua uwalali wa umiliki wa ardhi kwa watu wanao uza ardhi   kwani kijiji cha kimambi kimekuwa tabia ya kuuza ardhi kiholela kwa wafugaji na kuna watu ambao wanajipatia maeneo hayo kwa njia ya udanganyifu.

Pia Mheshimiwaa Mlinga amewataka viongozi wa vijiji kuacha tabia ya kupokea rushwa kutoka kwa wafugaji kwani wao ndio wamekuwa chanzo cha mifarakano baina ya wakulima na wafugaji kwa sababu ya kutofuata taratibu za umiliki wa ardhi ambao umewekwa na kijiji na pia wananchi muache kuuza ardhi itunzeni kwa ajili ya kizazi cha kesho.

Mheshimiwa Mlinga pia amewataka wananchi wa kijiji cha kimambi kuheshimu mipaka iliyo wekwa kwani wafugaji wamekuwa wakivamia maeneo ya hifadhi ya wanyamapori Magingo kwa kupaka rangi ambayo inawapa ardhi kinyume na sheria kwani kijiji cha kimambi kimekuwa hakina uhaba wa ardhi kina eneo la kutosha hivyo tuache tabia ya kuvamia maeneo ambayo siyo ya kwetu na pia kijiji huki hakina mgogoro wa mipaka kama mnavyo dai.

Na pia Serikali itahakikisha kuwa kila mfugaji atapewa eneo lake kwa ajili ya ufugaji na hivyo anawajibu wa kuliendeleza kwa kupanda anyasi na kuchimba visima na marambo katika eneo atakalo kabidhiwa atakaye fanya kinyume na hivi basi sheria itachukua mkondo wake aidha Mheshimiwa Mlinga amewataka wafugaji kuheshimu taratibu ambazo zimewekwa na pia kuheshimu mashamba ya watu na vyanzo vya maji.

Kwa upande mwingine Mkuu wa Wilaya amewataka wananchi wa kijiji cha kimambi kuanza harambee kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha afya kwani kijiji cha kimambi kimekuwa na idadi kubwa ya watu hivyo nilazima huduma pia ziongozeke hivyo mnawajibu wakuanza kuchangia na kuanzisha boma na Serikali italeta pesa na kuendelea na ujenzi

Na pia miradi mingine ya maendeleo bado Serikali inaleta ikiwemo miradi ya maji, elimu, miundombinu, ya barabara, na mawasiliano hivyo tuendelee kuinga mkono Serikali    ili tuweze kukamilisha lengo la kuleta maendeleo katika kijiji hichi cha Kimambi na 2qzpia wafugaji tuwapeleke watoto shule ili wapate elimu na wapate uwelewa.


Baadhi ya wazee wa kijiji cha Kimambi wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga ambaye ayupo pichani.

Picha mbalimbali katika mkutano wa hadhara katika kijiji cha Kimambi na Mkuu wa Wilaya  Mheshimiwa Goodluck Mlinga.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA WASIMAMIZI NA MAKARANI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 JIMBO LA LIWALE October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WASIMAMIZI NA MAKARANI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 JIMBO LA LIWALE October 15, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE January 03, 2026
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 12, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • DC MLINGA AWATAKA MADIWANI KUTANGULIZA MASILAHI YA WANANCHI

    December 04, 2025
  • ABDALLAH CHANDE ACHAGULIWA KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE

    December 04, 2025
  • MOHAMED MTESA ACHAGULIWA TENA KUWA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE

    December 04, 2025
  • DC MLINGA AKAGUA VITALU VYA UCHENJUAJI WA MADINI YA DHAHABU LILOMBE

    December 02, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • OR - Tamisemi
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Lindi RS
  • Lindi Manispaa
  • Nachingwea
  • Ruangwa
  • Mtama
  • Kilwa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • axl777
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AXL777
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • slot gacor
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • koi200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77