• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Uhasibu
      • Miundo Mbinu
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

DC Mlinga Atoa Maagizo kwa Viongozi wa Kata na Vijiji na Kamati za Mliaasili

Imewekwa:: October 29th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga amekutana na Watendaji wa Vijiji na Kata  pamoja na Wenyeviti wa Kamati za Maliasili na Makatibu wake katika kikao kazi  cha kupena miongozo na kusimamia mapato yatokanayo na misitu  katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Liwale day.

Mheshimiwa Mlinga amewataka viongozi wote wa vijiji na Kata kuhakikisha wanasimamia nakutimiza majukumu yao katika ngazi za vijiji na Kata kwani wengi wao wamekuwa wakifanya mambo ambayo  yasiyo mazuri  viongozi wamekuwa ndio chanzo cha migogoro na kupoteza mapato kwa kuwapokea wafugaji  bila kufuata utaratibu , wamekuwa wakiuza maeneo kiholela watumishi wengi  hawashindi katika vituo vyao vya kazi  badala yake wamekuwa wakizurula mjini, hivyo kushindwa kisimamia mapato ya vijiji yatokanayo na misitu,  hivyo ameagiza kila mtumishi  akae eneo lake la kazi ni marufuku kuja mjini.

Aidha amekumbusha kuwepo na Kamati za ulinzi na usalama katika vijiji kwa ajili ya kulinda usalama wa wananchi wa maeneo hayo kwani kwa sasa ni msimu wa korosho hivyo matukio ya uhalifu yanaongezaka kamati hizi zikatekeleze majukumu yake ikiwa kulinda karosho kwenye mashamba   pia ameagiza viongozi wa vijiji kusimamia lishe kwakufuata miongozo ambayo wanapewa na wataalamu.

Aidha Mheshimiwa Mlinga amezitaka Kamati za Maliasili kuhakikisha zinasimamia sheria na taratibu na pia kukusanya mapato ambayo yanatokona na maliasili ya misitu hivyo amazitika kamati hizo kuacha kufoji nyaraka , kuacha kuwapa wafanyabiashara leseni bila kufuata utaratibu, napia kusimamia wafanyabiashara wavune eneo ambalo amepewa na sio kuongeza ujazo wa eneo, na pia kuacha kupitisha wavunaji wengi kuliko eneo ambalo wanalo kwani ni kosa kufanya hivyo na tutashughulika na wale wote ambao wamehusika  na toa wito kwa wale wote ambao wanadaiwa walipe hakuna mvunaji ambaye ataendelea kuvuna  kama anadaiwa .

Hata hivyo Mheshimiwa Mlinga amezitaka kamati kucha kushirikiana na wafanyabiashara kwani kufanya hivyo ni kuhujumu na kupoteza mapato ya Serikali  bali wasimamie sheria na taratibu ambazo zipo  aidha Mheshimiwa Mlinga ameagiaza viwanda vyote kucha kufanya kazi nyakati za usiku bali wafanye kazi mchana tu na hivyo wale wanao daiwa walipe  na pia viongozi wote mkasimamie fedha na mapato yetu pamoja na miradi ya Serikali.





Picha mbalimbali katikia kikao kazi cha Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga na watendaji wa vijiji , kata na wenyeviti na makatibu wa maliasili.

Matangazo

  • TANGAZO LA MIKOPO AWAMU YA PILI KWA MWAKA WA FEDHA 2024/2025 February 26, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MKATABA MSF May 07, 2025
  • TANGAZO LA KUANZA KWA MFUMO MPYA WA TAUSI KWA AJILI YA UTOAJI HUDUMA YA MALIPO MBALIMBALI YA SERIKALI KWA NJIA YA MTANDAO February 20, 2023
  • TANGAZO LA MNADA WA MAGARI NA PIKIPIKI October 09, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAANDIKISHAJI WASAIDIZI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA NA WAENDESHA VIFAA VYA BAYOMETRIKI (BVR KIT) JIMBO LA LIWALE WAPATIWA MAFUNZO

    May 14, 2025
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE YAPOKEA TUZO YA GLASS YA ELIMU KIMKOA KWA KUSHIKA NAFASI YA KWANZA KWA MWAKA 2024

    May 02, 2025
  • UFUNGWAJI YA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA.

    November 01, 2024
  • MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA HALMASHAURI

    October 30, 2024
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • www.tamisemi.go.tz
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Bodi ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Linndi RS
  • Ruangwa
  • Nachingwea
  • Lindi Manispaa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.