• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Uhasibu
      • Miundo Mbinu
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

DC Mlinga Asimamisha Shughuliza za Uchimbaji wa Madini Lilombe

Imewekwa:: November 8th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga amepiga marufuku kuendelea na shughuli za uchimbaji wa madini katika kijiji cha Lilombe baada ya kubaini kuwa shughuli hizo zinafanyika bila kuwa na kibali na kutofuta utaratibu na sheria hivyo kusbabisha uharibifu mkubwa wa mazingira husasa pembezoni mwa mto Mbwemkulu na mto Nguramiga eneo la Liwale.

Mheshimiwa Mlinga amefanya ziara hiyo katika kijiji cha Lilombe sambamba na eneo la mto Mbwemkulu eneo la Liwale na kujionea uharibifu mkubwa uliofanywa na wachimbaji wa madini raia wa China ambao wanafanya shughuli hizo pembezoni mwa mto Mbwemkulu ikiwemo kuhamisha mto na kufukia njia ya mto na ikumbukwe mto huo ndio mpaka mkubwa kati ya Wilaya ya Liwale na Nachingwea. Hata hivyo Mheshimiwa Mlinga amebaini kuwepo na uharibifu upande wa vyanzo vya maji katika maeneo hayo jambo linalopelekea wananchi wa vijiji jirani kukosa maji na pia kuwepo na sumu ambazo wanatumia katika kusafishia na kunasa madini ya dhahabu.

Aidha Mheshimiwa Mlinga  ametembelea eneo la mto Ngurumaiga kijiji cha Lilombe  na kujionea  kambi mbili za raia wa China  ambazo zinafanya  shughuli hizo za uchimbaji wa madini  zikiwa na vifaa vya kisasa ikiwemo mashine kubwa za kuchumbia , mashine kubwa za kuoshea, na pampu kubwa za kuvuta maji kwajili ya kuoshea madini hayo  hata hivyo “Mheshimiwa Mlinga amesema kuwa wachimbaji hawa awana leseni wala kibali  na pia hakuna taarifa yeyote walio toa kwenye wilaya hivyo huu ni uvamizi katika eneo letu” na hivyo kuwtaka wafike ofisini na nyaraka zote ambazo zinawapa uhalali wa kuchimba madini katika eneo la Wilaya ya Liwale

 Kwa upande mwengine Mheshimiwa Mlinga amewataka wananchi na viongozi wa vijiji jirani kuhakikisha wanatoa taarifa kwa viongozi wa wilaya pindi wanapo ona hali kama hizi zinatokea katika maeneo haya kwasababu uharibifu wa mazingira ni mkubwa sana hususa eneo la mito hivyo tunaomba mtupe ushirikiano ili tuweze kuzuia uharibifu huu na kuwachukulia sheria pia wahusika hawa wote.



Picha mbalimbali za uchimbaji wa madini  katika Kijiji cha Lilombe.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA WASIMAMIZI NA MAKARANI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 JIMBO LA LIWALE October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WASIMAMIZI NA MAKARANI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 JIMBO LA LIWALE October 15, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE January 03, 2026
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 12, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • DC MLINGA AWATAKA MADIWANI KUTANGULIZA MASILAHI YA WANANCHI

    December 04, 2025
  • ABDALLAH CHANDE ACHAGULIWA KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE

    December 04, 2025
  • MOHAMED MTESA ACHAGULIWA TENA KUWA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE

    December 04, 2025
  • DC MLINGA AKAGUA VITALU VYA UCHENJUAJI WA MADINI YA DHAHABU LILOMBE

    December 02, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • OR - Tamisemi
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Lindi RS
  • Lindi Manispaa
  • Nachingwea
  • Ruangwa
  • Mtama
  • Kilwa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • axl777
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AXL777
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • slot gacor
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • koi200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88