• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Uhasibu
      • Miundo Mbinu
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA na Takwimu
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

DC Mlinga Akagua Vyanzo vya Maji Liwale

Imewekwa:: December 11th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Goodluck Mlinga pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama wametembelea vyanzo vya maji vya Wilaya lengo likiwa ni kukagua na kuangalia uwezo wakutoa maji na kuwahudumia wananchi wa maeneo husika na utunzaji wa vyanzo hivyo.

Mheshimiwa Mlinga ametembelea chanzo cha maji Barakiwa ambacho kina hudumia vijijiji vitatu vya Barikiwa, Chimbuko, na Ndunyungu na inakadiriwa kuwa na watumiaji 5,320. Mheshimiwa Mlinga amewataka wakazi wa Barikiwa kuhakikisha wanatunza vyazo vya maji kwa kuacha kulima na kufanya shughuli za kibinadamu katika vyanzo vya maji kuendelea kuwepo kwa shughuli hizo zitasababisha kupoteza vyazo vya maji na hata kukauka na wananchi kukosa huduma ya maji.

Pia Mheshimiwa Mlinga ametembelea chanzo cha maji Ngongowele ambacho kipo katika msitu wa Hangai  ambacho kitahudumia vijiji vya  Ngongowele , Mikuyu, ,Darajani na Mihimo ambapo inakadiriwa kuwa na watumiaji 12,190 pia amekagua ujenzi wa mradi huo kwenye chanzo cha maji  na kukagua ujenzi wa ntaki kubwa moja na sehemu ya mfereji  pamoja na mtandao wa maji kwenda kweye tanki kubwa la maji na ujenzi wa mradi huo unakadiriwa kugharimu kiasi cha shilingi Tshs 958,975,215.00 kukamilika kwa maradi huo.

Aidha Mheshimiwa Mlinga ametembelea chanzo cha maji cha Turuki  amabacho kinategemewa kusambaza maji eneo la Liwale mjini na maeneo ya Makonjiganga, Muungurumo, Likongowele, Mpirani, Ulia, Nganyaga, Kuchochorokana, Kilipwike, Lindota, Kinguluwila, Liwale B, Naluleo, Mbonde, Nangando na Turuki na watumiaji wanakadiriwa kuwa 34,382 pia amewataka Wakala wa Maji Vijijini Ruwasa eneo la Liwale Kuhakikisha wanalinda chanzo hicho kwani kinategemewa na idadi kubwa ya watu  hivyo ameshauri kuhakikisha kuwa  kinalindwa dhidi ya mifugo na wanao kata miti hovyo na wanao lima kando kando ya vyanzo vya maji.

Sambamba na kutembelea vyanzo hivyo Mkuu wa Wilaya Mheshimiwa Goodluck Mlinga ametembelea chanzo cha maji cha Nangano ambacho kimekamilika na kinatoa huduma kwa wananchi wa maeneoa hayo na watumiaji wanakadiriwa kuwa 1,880 ambao wanapata maji safi na salama  na pia amewewataka wananchi kutumia maji ya bomba ambayo ni safi na kuacha kutumia maji ya mto mbwemkulu ambao umekuwa ukitumiwa na wafugaji kunyweshea mifugo yao maji na pia wachimbaji wa madini kutiririsha sumu ambayo ni hatari kwa afya zao.

Pia Mheshimiwa Mlinga ametembela na kukagua chanzo cha maji na ujenzi wa mradi wa maji wa Kitogoro na Kiangara ambao unakdiriwa kuwa na watumiaji 4,535 ambao watapata maji safi na salama katika maeneo hayo yote hivyo Wakala wa maji vijijini Ruwasa wametakiwa kuongeza kasi hili kuhakikisha wananchi wa Wilaya ya Liwale wanapata huduma ya maji safi.

Baada ya kutembelea vyanzo hivyo vya maji katika Wilaya ya Liwale Mheshimiwa Mlinga ametoa maelekezo   amewataka Wakala wa Maji vijijini Ruwasa kuhakikisha wanasimamia miradi yote ambayo ipo na ikamilike kwa wakati na wananchi wapate huduma ya maji, pia kuhakikisha wanasambaza vilula vya kuchotea maji maeneo yote ambayo yana uhitaji ikiwemo Mashuleni na kwenye Vituo vya Afya na Zahanati.

Kwa upande mwingine amewataka kuhakikisha wanasimamia na kutunza vyazo vyote vya maji ikiwemo kuwaondoa wale wote ambao wanalima au wanafanya shughuli za kibinadamu katika maeneo hayo ya vyanzo ikiwemo pembe zoni mwa mto Liwale kwa mujibu wa sheria na utaratibu.


Picha mbalimbli katika ziara ya Mkuu wa wilaya ya Liwale kukagua vyanzo vya maji na miradi ya maji.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE MAFUNZO YA WASIMAMIZI NA MAKARANI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 JIMBO LA LIWALE October 22, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI WA WASIMAMIZI NA MAKARANI WA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 2025 JIMBO LA LIWALE October 15, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI YA MWENYEKITI WA BODI YA AJIRA YA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE January 03, 2026
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU September 12, 2025
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • DC MLINGA AWATAKA MADIWANI KUTANGULIZA MASILAHI YA WANANCHI

    December 04, 2025
  • ABDALLAH CHANDE ACHAGULIWA KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE

    December 04, 2025
  • MOHAMED MTESA ACHAGULIWA TENA KUWA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE

    December 04, 2025
  • DC MLINGA AKAGUA VITALU VYA UCHENJUAJI WA MADINI YA DHAHABU LILOMBE

    December 02, 2025
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • OR - Tamisemi
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Lindi RS
  • Lindi Manispaa
  • Nachingwea
  • Ruangwa
  • Mtama
  • Kilwa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.

  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Slot Gacor
  • Situs Toto
  • Toto Togel
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • axl777
  • Situs Toto
  • YAMITOTO
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • DORA77
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Situs Toto
  • AERO88
  • Toto Slot
  • DORA77
  • Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • AXL777
  • AXL777
  • DORA77
  • DORA77
  • AXL777
  • YAMITOTO
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • Situs Toto
  • toto slot
  • slot gacor
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • koi200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • KOI200
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • AXL777
  • Situs Toto
  • KOI200
  • Toto Slot Gacor
  • AERO88 Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • Slot Gacor
  • AERO88
  • Situs Toto
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • yamitoto
  • kudetabet98
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • axl777
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77