• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Mifugo na Uvuvi

 MAJUKUMU YA IDARA YA MIFUGO NA MAENDELEO YA UVUVI 

  • Kutafsiri sera za mifugo, uvuvi, mikakati, miongozo na kanuni kulingana na hali ya mifugo na uvuvi kiwilaya;

  • Kuhakikisha maandalizi ya mipango ya maendeleo ya mifugo kulingana na mahitaji ya wafugaji katika njia shirikishi;

  • Kuwezesha kuunganisha utafiti na huduma za ugani na kutengeneza mahusiano mazuri kwa kuwashirikisha wakulima, vikundi vya wakulima, viongozi wa wilaya, viongozi wa vijiji na kata na maafisa wa halmashauri;

  • Kutengeneza miongozo ya watoa huduma binafsi (CBO’s, NGO’s) na watoa huduma binafsi wakubwa na kuwawezesha waweze kufanya mikataba na halmashauri katika kutoa huduma katika halmashauri.

  • Kuweza kusimamia utoaji wa zabuni haraka na kutoa maamuzi haraka na kwa wakati kwa kuzingatia vigezo na masharti.

  • Kuweka miongozo ya matumizi ya tafifiti zinazoonesha matokeo mazuri kwa makundi husika (wafugaji na wavuvi) katika halmashauri.

  • Kuweka ushirikiano kati ya taasisi na mawakala wanaofanya kazi za mtambuka na halmashauri ya wilaya kama: maliasili, jinsia, mazingira, wakala wa uwezeshaji wa mkoa (RFAs) katika kumbambana na virusi vya ukimwi na ukimwi ili kuhakikisha kuwa masuala haya yanazingatiwa katika mipango kazi kuwezesha ufugaji na uvuvi endelevu.

  • Kuunganisha na kusimamia kazi zote za mifugo na uvuvi zinazofanywa katika Halmashauri na watoa huduma wa jamii na binafsi. Kufuatilia, kusunganisha na kutoa taarifa ya magonjwa na wadudu waenezao magonjwa wanaohamahama katika ngazi zinazohusika na udhibiti katika kanda, mikoa na taifa.

  • Kuandaa taarifa za utekelezaji za mwezi, robo mwaka na mwaka za maendeleo ya mifugo na uvuvi na kuhakikisha zinawasilishwa kwa mkurugenzi mtendaji, mkoa, kanda na wizarani.

  • Kuandaa na kuwasilisha taarifa ya mwaka ya utendaji kazi wa watumishi wa idara ya mifugo na uvuvi.

  • Kutathmini mahitaji ya pembejeo za mifugo na uvuvi, upatikaji na usambazaji katika halmashauri ya wilaya.

 




Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI IDARA YA AFYA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE March 06, 2023
  • TANGAZO LA KUANZA KWA MFUMO MPYA WA TAUSI KWA AJILI YA UTOAJI HUDUMA YA MALIPO MBALIMBALI YA SERIKALI KWA NJIA YA MTANDAO February 20, 2023
  • TANGAZO LA CHANJO YA KICHAA CHA MBWA October 23, 2022
  • MASHINDANO YA KOMBE LA SENSA 2022 June 08, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • TANGAZO LA MAOMBI YA VIBANDA 34 KATIKA ENEO LA STENDI

    March 16, 2023
  • MAPOKEZI PIKIPIKI SITA KWA AJILI YA WATENDAJI KATA KUTOKA KWA MH. RAIS DKT SAMIA SULUH HASSAN

    February 26, 2023
  • UTOAJI WA TUZO KWA WALIMU NA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI WA MSINGI NA SEKONDARI KWA MWAKA 2022

    February 25, 2023
  • MAFUNZO YA STADI ZA MSINGI ZA SHUGHULI ZA KIUCHUMI KWA WALENGWA WA TASAF

    February 22, 2023
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • www.tamisemi.go.tz
  • Kupata maelezo ya kujiunga (joining instructions) kidato cha tano 2021 Tanzania Bara
  • Kupata maelezo ya kujiunga (joining instructions) za Vyuo vya Elimu 2021
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Bodi ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya maji
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Linndi RS
  • Ruangwa
  • Nachingwea
  • Lindi Manispaa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2018 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.