• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Maendeleo ya Jamii

MAJUKUMU YA IDARA YA MAENDELEO NA USTAWI WA JAMII 

  • Kuraghabishi jamii ili iweze kujiletea maendeleo yao endelevu kwa kutumia rasilimali walizonazo wenyewe.

  • Kufanya tafiti ndogondogo shirikishi za kijamii na kiuchumi ili kubaini matatizo waliyonayo na kutafuta ufumbuzi wa matatizo hayo kwa kutumia mpango wa fursa na vikwazo.

  • Kuihamasisha jamii kutumia teknolojia rahisi na sahihi ili kumpunguzia mwanamke mzigo wa kazi

  • Kuongoza na kusimamia utekelezaji wa mipango na miradi mbalimbali kutoka sekta zote katika Halmashauri ya wilaya ambayo inahitaji ushirikishaji jamii

  • Kusajili na kuzisimamia asasi zisizo za kiserikali kutokana na ukweli kuwa asasi hizi ni washirika wa Halmashauri na Serikali kwa ujumla katika mchakato wa maendeleo.

  • Kukusanya Takwimu za kijamii, kutunza, kutafsiri na kusambaza Takwimu hizo kwa matumizi ya jamii kwa kuzingatia shughuli za sekta nyingine.

  • Kupambana na umaskini wa kipato kwa kuratibu utoaji na urejeshaji wa mikopo kwa wanawake na vijana kutokana na mifuko mbalimbali kama vile Mfuko wa Maendeleo ya Wanawake(WDF) na Mfuko wa vijana.

  • Kuendeleza na kukidhi mahitaji ya makundi maalum katika jamii ikiwa ni pamoja na uanzishwaji wa dawati la jinsia kwa kila Idara.

  • Kuelimisha na kuhamasisha jamii juu ya mapambano dhidi ya VVU/UKIMWI

  • Kuelimisha na kuihamasisha jamii juu ya mila potofu zote zinazoweza kukwamisha jitihada za Wananchi katika kujiletea maendeleo yao kama vile mauaji ya vikongwe, mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi(Albino) na ukeketaji wa wanawake (Female Genital Mutilation)

  • Huduma kwa makundi maalum watu wenye ulemavu, watoto waishio katika mazingira hatarishi na wazee

  • Huduma kwa familia, watoto na vituo vya kulelea watoto wadogo mchana.

  • Huduma za majaribio na ujenzi wa tabia (Probation)

  • Kuratibu na kuboresha mitaala ya kufundishia stadi mbalimbali za maisha kwa vijana katika NGOs CBOs na Vituo vya Vijana.

  • Kuratibu shughuli za Maendeleo ya Vijana katika Vituo ,NGOs na CBOs Wilayani

  • Kupanga, kusimamia na kuendesha mafunzo ya ujasiri kwa vijana ili kuwawezesha kukabiliana na matatizo yanayojitokeza katika maisha

  • Kuratibu shughuli za usajili wa NGOs na CBOs zinazofanywa na Wilaya

  • Kuhamasisha na kushauri juu ya uanzishaji wa vituo vya vijana katika wilaya na kuratibu na kusimamia mfuko wa Vijana (YDF)

  • Kukusanya taarifa mbalimbali muhimu,Kutafsiri na kusambaza kwa jamii

  • Kuratibu mafunzo ya utoaji wa mbinu za kuwasaidia vijana kujikomboa na umasikini, ujinga na kupiga vita UKIMWI ,madawa ya kulevya na kutetea usawa wa jinsia.

  • Kufanya uchambuzi wa matatizo ya jamii na kutoa ushauri wa kitaalamu kwa Halmashauri,

  • Kuhamasisha uandaaji wa mipango ya uwiano ya Maendeleo ya Wilaya

  • Kuvisaidia vikundi maalum (ushirika/CBOs/kidini) kuandaa Miradi (project write –up)na kuwawezesha namna ya kupata miradi.

  • Kusimamia utekelezaji wa Sera za maendeleo za fani mbalimbali katika wilaya

  • Kuwaongoza na kuwasimamia, watumishi wa Maendeleo ya jamii wa ngazi ya Tarafa, kata na vijiji


    • Kuratibu na kusimamia mafunzo ya viongozi wa vijiji na vikundi mbali mbali vya maendeleo wilayani.

    • Kukusanya taarifa mbalimbali muhimu na kusisambaza kwa jamii

    • Kuandaa mikutano ya maafisa maendeleo ya jamii wa kata kuzungumzia matatizo,mafanikio na kuandaa mikakati ya uboreshaji wa Maisha/ Maendeleo ya wananchi katika Tarafa

    • Kueneza elimu ya uraia mwema na kuratibu kazi za Uraghibishi katika Idara na Taasisi zingine

    • Kuandaa, kuhakiki na kupendekeza maombi ya mikopo ya vikundi na kupokea marejesho ya mikopo

  • Kupokea na kukusanya takwimu zinazohusu huduma za watu wenye ulemavu,wazee, malezi ya watoto na familia zenye matatizo

  • Kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya uandikishaji vituo vya kulelea watoto mchana, malezi yakambo, na vyuo vya walezi wa watoto wadogo mchana

  • Kupokea,kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya msaada wa Rais kutoka kwa akinamama waliojifungua watoto watatu au zaidi kwa wakati mmoja

  • Kupokea, kuchambua nakuandaa orodha ya maombi ya watoto yatima au wanaohitaji misaada mbalimbali.

  • Kupokea, kuchambua nakuandaa orodha ya maombi mbalimbali kutoka kwenye familia na watu wenye dhiki

  • Kuhoji na kuandaa taarifa za washtakiwa

  • Kusimamia wahudumiwa katika makazi, vyuo vya mafunzo ya ufundi stadi vya watu wenye ulemavu, mahabusu za watoto na shule za maadilisho

  • Kuihamasisha jamii kutumia teknolojia rahisi na sahihi ili kumpunguzia mwanamke mzigo wa kazi

  • Kusimamia ujenzi wa nyumba bora vijijini



Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI IDARA YA AFYA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE March 06, 2023
  • TANGAZO LA KUANZA KWA MFUMO MPYA WA TAUSI KWA AJILI YA UTOAJI HUDUMA YA MALIPO MBALIMBALI YA SERIKALI KWA NJIA YA MTANDAO February 20, 2023
  • TANGAZO LA CHANJO YA KICHAA CHA MBWA October 23, 2022
  • MASHINDANO YA KOMBE LA SENSA 2022 June 08, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • TANGAZO LA MAOMBI YA VIBANDA 34 KATIKA ENEO LA STENDI

    March 16, 2023
  • MAPOKEZI PIKIPIKI SITA KWA AJILI YA WATENDAJI KATA KUTOKA KWA MH. RAIS DKT SAMIA SULUH HASSAN

    February 26, 2023
  • UTOAJI WA TUZO KWA WALIMU NA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI WA MSINGI NA SEKONDARI KWA MWAKA 2022

    February 25, 2023
  • MAFUNZO YA STADI ZA MSINGI ZA SHUGHULI ZA KIUCHUMI KWA WALENGWA WA TASAF

    February 22, 2023
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • www.tamisemi.go.tz
  • Kupata maelezo ya kujiunga (joining instructions) kidato cha tano 2021 Tanzania Bara
  • Kupata maelezo ya kujiunga (joining instructions) za Vyuo vya Elimu 2021
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Bodi ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya maji
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Linndi RS
  • Ruangwa
  • Nachingwea
  • Lindi Manispaa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2018 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.