• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Historia

Historia ya Wilaya ya Liwale 

1.0 Historia ya Wilaya


Wilaya ya Liwale ilianzishwa rasmi Julai 7, 1975 baada ya kumegwa kutoka Nachingwea kutokana na ukubwa wa Wilaya ya Nachingwea. Kabla ya hapo, Wilaya ya Liwale ilikuwa ni Tarafa ya Wilaya ya Nachingwea toka mwaka 1961. Pia katika mwaka 1975, Wilaya ikawa Jimbo rasmi la Uchaguzi ambapo Mbunge wa kwanza alikuwa Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Marehemu Rashid Mfaume Kawawa.


Baada ya kumegwa kutoka Nachingwea, Wilaya ya Liwale imekuwa ni miongoni mwa Halmashauri sitazinazounda mkoa wa Lindi; hii ni pamoja na Halmashauri za Wilaya za Kilwa, Lindi, Ruangwa, Nachingwea na Lindi Manispaa.


Wilaya ya Liwale ilikuwa Halmashauri ilipofika Mwaka 1984. Hapo ikawa Mamlaka ya Serikali za Mitaa ambayo ilikuwa na madaraka kamili kama yalivyoainishwa katika Sheria ya uanzishaji wa Mamlaka hizo ya Mwaka 1982.


1.2 Mahali ilipo

Kijiografia Liwale inapatikana kati ya Latitudo 80na 10050`Kusini mwa mstari wa Ikweta na pia Longitudo 36050`na 38048`Mashariki. 


1.3 Mipaka

Wilaya ya Liwale imepakana na Wilaya za Nachingwea upande wa kusini, Wilaya ya Ruangwa upande wa kusini mashariki, Wilaya ya Kilwa upande wa mashariki; Wilaya ya Rufiji upande wa kaskazini, Wilaya ya Mahenge upande wa kaskazini-magharibi na Wilaya ya Tunduru upande wa kusini-magharibi.

1.4 Eneo

Liwale ina eneo la kilometaza mraba 38,380 ambalo ni zaidi ya nusu ya eneo lote la Mkoa waLindi. Kati ya eneo hilo zaidi ya 2/3 ni misitu yenye kilometa za mraba 27,965.4. Mgawanyo wake ni kama ifuatavyo; Hifadhi ya Mbuga ya Selous kilometa za mraba 25,587,(Hii ni 2/3 ya eneo lote la Wilaya). Hifadhi ya Msitu wa Angaikilometa za mraba 1,394.20 na Hifadhi ya Msitu wa Serikali Kuu wa Nyera–Kipelele wenye kilometa za mraba 984.20. Eneo lililosalialenye kilometa za mraba 12,793 ambazo ni sawa na theluthi moja ya eneo lote la Wilaya linatumika kwa makazi, mipaka “buffer zone,”kilimo na shughuli nyingine za uchumi.


Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI IDARA YA AFYA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE March 06, 2023
  • TANGAZO LA KUANZA KWA MFUMO MPYA WA TAUSI KWA AJILI YA UTOAJI HUDUMA YA MALIPO MBALIMBALI YA SERIKALI KWA NJIA YA MTANDAO February 20, 2023
  • TANGAZO LA CHANJO YA KICHAA CHA MBWA October 23, 2022
  • MASHINDANO YA KOMBE LA SENSA 2022 June 08, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • TANGAZO LA MAOMBI YA VIBANDA 34 KATIKA ENEO LA STENDI

    March 16, 2023
  • MAPOKEZI PIKIPIKI SITA KWA AJILI YA WATENDAJI KATA KUTOKA KWA MH. RAIS DKT SAMIA SULUH HASSAN

    February 26, 2023
  • UTOAJI WA TUZO KWA WALIMU NA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI WA MSINGI NA SEKONDARI KWA MWAKA 2022

    February 25, 2023
  • MAFUNZO YA STADI ZA MSINGI ZA SHUGHULI ZA KIUCHUMI KWA WALENGWA WA TASAF

    February 22, 2023
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • www.tamisemi.go.tz
  • Kupata maelezo ya kujiunga (joining instructions) kidato cha tano 2021 Tanzania Bara
  • Kupata maelezo ya kujiunga (joining instructions) za Vyuo vya Elimu 2021
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Bodi ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya maji
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Linndi RS
  • Ruangwa
  • Nachingwea
  • Lindi Manispaa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2018 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.