• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Fedha na Biashara

 IDARA YA FEDHA NA BIASHARA 

  • Kuratibu na kuhamasisha shughuli za biashara na viwanda Wilayani, kutoa elimu ya biashara kwa Wajasiriamali na watu walioko katika biashara

  • Kutayarisha ripoti za biashara na masoko, kubuni vyanzo vya mapato na

  • Kutoa leseni za biashara na kufanya ukaguzi

  • Kutafanya na kukagua kazi ya maingizo “Posting” kwenye daftari la fedha “Cash books” za matumizi na kuhakikisha zinafanywa kila siku na wahusika mara tu malipo yanapokamilika.

  • Kusimamia na kutafanya ukaguzi wa kuona kuwa kazi ya uchambuzi na uhifadhi wa nyaraka “Batching” inafanyika kila malipo yanapokamilika kila siku ya kazi.

  • Kutatoa taarifa juu ya utendaji usioridhisha wa vitengo vyote vidogo vilivyo chini ya kitengo cha matumizi kwa Mtunza Hazina kila itakapobidi.

  • Kukagua vitabu vya kutunzia kumbukumbu za fedha “Vote books” na taarifa ya mapato na matumizi ya kila mwezi na kuhakikisha matumizi hayazidi bajeti kwa kila kifungu kwa akaunti zote za Halmashauri.

  • Kuaandaa taarifa mbalimbali zinazohusiana na mifuko ya Halmashauri kila mwezi/mwaka pale zitakapohitajika.

  • Kukagua na kusimamia uandaaji wa madaftari ya udhibiti wa fedha “Control Cash Books”.

  • Kuaandaa Urari wa fedha, hati ya mapato na matumizi (Statement of financial performance)na mizania kwa kila mwezi na mwaka kwa mifuko unayofanyia kazi.

  • Kufuatilia madeni/wadeni wa Halmashauri na kuona wanailipa Halmashauri kwa wakati

  • Utahakikisha kuwa hakuna salio la makosa/la miamala iliyoibuliwa “Any outstanding item” katika mifuko hiyo.

  • Utakagua vitabu vyote vya kukusanyia mapato toka kwa wakusanya mapato na kuvitolea taarifa.

Matangazo

  • TANGAZO LA KAZI IDARA YA AFYA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE March 06, 2023
  • TANGAZO LA KUANZA KWA MFUMO MPYA WA TAUSI KWA AJILI YA UTOAJI HUDUMA YA MALIPO MBALIMBALI YA SERIKALI KWA NJIA YA MTANDAO February 20, 2023
  • TANGAZO LA CHANJO YA KICHAA CHA MBWA October 23, 2022
  • MASHINDANO YA KOMBE LA SENSA 2022 June 08, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • MAPOKEZI YA PIKIPIKI 35 KWA AJILI YA MAAFISA UGANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE

    February 25, 2023
  • TANGAZO LA MAOMBI YA VIBANDA 34 KATIKA ENEO LA STENDI

    March 16, 2023
  • MAPOKEZI PIKIPIKI SITA KWA AJILI YA WATENDAJI KATA KUTOKA KWA MH. RAIS DKT SAMIA SULUH HASSAN

    February 26, 2023
  • UTOAJI WA TUZO KWA WALIMU NA WANAFUNZI WALIOFANYA VIZURI WA MSINGI NA SEKONDARI KWA MWAKA 2022

    February 25, 2023
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • www.tamisemi.go.tz
  • Kupata maelezo ya kujiunga (joining instructions) kidato cha tano 2021 Tanzania Bara
  • Kupata maelezo ya kujiunga (joining instructions) za Vyuo vya Elimu 2021
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Bodi ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya maji
  • Taarifa za huduma ya afya

Tovuti Linganifu

  • Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Linndi RS
  • Ruangwa
  • Nachingwea
  • Lindi Manispaa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE

    Simu ya Mezani: 023 2937043

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2018 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.