Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale anakaribisha maombi kutoka kwa Watanzania wote wa Wilaya ya Liwale wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira ya Halmashauri ya Wilaya ya Liwale atakayeongoza kwa kipindi cha miaka mitano.
Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters
Sanduku la Posta: P.O. BOX 23 LIWALE
Simu ya Mezani: 023 2937043
Mawasiliano ya mkononi:
Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz
Hakimiliki 2023 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.