• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Baruapepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Liwale District Council
Liwale District Council

Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Liwale

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Uongozi wa Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Afya
      • Usafishaji na Mazingira
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Ufugaji wa Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Agriculture
    • Mifugo
    • Vivutio vya kitalii
  • Huduma Zetu
    • Huduma za Afya
    • Huduma za elimu
    • Huduma za maji
    • Huduma za Ugani
    • Huduma za Watumishi
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Utawala Mipango na Fedha
      • Uchumi na Mazingira
      • Community Services
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Ratiba ya Mheshimiwa Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria ndogo
    • Mkataba wa huduma kwa mteja
    • Mpango mkakati
    • Taarifa mbalimbali
    • Fomu
    • Miongozo mbalimbali
  • KItuo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video za shughuli za ofisi na kitaifa
    • Hotuba za viongozi mbalimbali
    • Maktaba ya picha

Mipango Takwimu na Ufuatiliaji

` 

MAJUKUMU IDARA YA MIPANGO, TAKWIMU NA UFUATILIAJI

  • Kuratibu na kufuatilia kazi zote za mipango ya maendeleo katika halmashauri ya wilaya

  • Kuratibu mipango ya maendeleo inayofadhiliwa na serikali kuu na wahisani.

  • Kuchambua, kuthibiti na kuoanisha bajeti ya Serikali kwa kushirikiana na Wizara ya Fedha na TAMISEMI

  • Kutembelea miradi ya maendeleo iliyopo katika vijiji vinavyozunguka

  • Kuandaa taarifa za ilani ya uchaguzi zilizotekelezwa na idara za halmashauri

  • Kutafasiri sera na shughuli za halmashauri ya wilaya kwa wadau mbalimbali wa halmashauri ya wilaya

  • Kuhamasisha jamii kuanzisha biashara ndogondogo na viwanda vya uzalishaji

  • Kufanya mikutano ya kuhamasisha maendeleo kwa kushirikiana na NGOs,CBOs na FBOs zinazoshirikiana na halmashauri ya wilaya ya Nachingwea kwa kubadilishana uzoefu.

  • Kuratibu na kusimamia ushirikishwaji wa sekta binafsi katika shughuli za maendeleo

  • Kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo

  • Kufanya tathimini ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo

  • Kushirikiana na Idara zote kutoa mafunzo kwa watendaji wa kata na vijiji kuhusiana na mipango shirikishi ya maendeleo

  • Kutembelea asasi za kiserikali na zisizo za kiserikali kuona, kutoa ushauri wa kitaalamu na kutathimini mafanikio ya shughuli walizozifanya.

     

  • Kuratibu na kufuatilia kazi za mipango ya maendeleo katika halmashauri ya wilaya ya Nachingwea

  • Kuandaa maandiko mbalimbali ya miradi ya maendeleo kutokana na vipaumbele vinavyotolewa na wananchi

  • Kuandaa sera, mipango, mikakati na shughuli za halmashauri ya wilaya kwa wadau mbalimbali wa halmashauri ya wilaya.

  • Kutayarisha Mpango kazi wa mwaka.

  • Kukusanya taarifa mbalimbali za idadi ya watu, kuzichambua na kutafasiri kwa watendaji wengine wa H/W ya nachingwea

Matangazo

  • WANAFUNZI WALICHAGULIWA KUANZA KIDATO CHA KWANZA MWAKA 2021 - LIWALE DC December 19, 2020
  • FOMU ZA MAELEKEZO YA KUJIUNGA NA SHULE YA SEKONDARI KWA HALMASHAURI YA WILAYA YA LIWALE. (FORM ONE JOINING INSTRUCTIONS) December 15, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • WAKUU NA MAKAMU WAKUU WA SHULE ZA SEKONDARI WILAYANI LIWALE WANEEMEKA NA WARSA YA UONGOZI, UTAWALA NA UENDESHAJI WA SHULE NA TAASISI

    July 27, 2019
  • MKUU WA WILAYA LIWALE AWATUNUKU UONGOZI WA SHULE YA SEKONDARI LIWALE KWA UFAULU WA JUU KIDATO CHA SITA KWA MWAKA 2019 WAKATI WA KIKAO CHA DCC.

    July 18, 2019
  • MKURUGENZI MTENDAJI (W) AFURAHISHWA NA MAENDELEO YA MRADI WA KITALU NYUMBA

    July 06, 2019
  • UMISETA LIWALE

    June 25, 2019
  • Angalia Zote

Video

Video nyingine

Viunganishi vya Haraka

  • Kupata maelezo ya kujiunga (joining instructions) kidato cha tano 2018 Tanzania Bara
  • Orodha ya waliochaguliwa kujiunga kidato cha Tano 2018
  • Kupata maelezo ya kujiunga (joining instructions) za Vyuo vya Elimu 2018
  • Kufanya UTHIBITISHO kwa waliochaguliwa kujiunga na Vyuo vya Ualimu 2018
  • Kupata Hati ya Mshahara (Salary Slip) kwa Watumishi wa Umma
  • Bodi ya Ajira
  • Utabiri wa Hali ya Hewa
  • Taarifa za huduma ya elimu
  • Taarifa za huduma ya maji

Tovuti Linganifu

  • Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Sekretarieti ya Ajira
  • LINDI RS
  • Ruangwa
  • Nachingwea
  • Lindi Manispaa

Watazamaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Dissertation-Writingservice.com

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Along Nachingwea Road opposite DDD Quarters

    Sanduku la Posta: P.O. Box 23 Liwale

    Simu ya Mezani: +255 (0) 737 187 605

    Mawasiliano ya mkononi:

    Baruapepe: ded@liwaledc.go.tz

Anuani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya tovuti

Hakimiliki 2018 © Halmashauri ya Wilaya ya Liwale. Haki zote zimehifadhiwa.